Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama
Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza
hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za
barabarani nchini. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na maadhimisho ya
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani unafanyika katika hoteli ya Malaika
Beach Resort jijini Mwanza leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama
Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza
hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za
barabarani nchini. Kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama
Barabarani, Mohamed Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na
Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani unafanyika katika
hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama
Barabarani, Pereira Ame Silima (wapili kutoka kushoto) pamoja na Kamanda
wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga wakisikiliza
mada mbalimbali za usalama barabarani zilizokuwa zinawasilishwa katika
mkutano wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani lililowajumuisha
Wenyeviti na Makatibu wa Kamati za Mikoa yote nchini. Mkutano huo
unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
unafanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo.
Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment