Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa Kanisa
la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Shinyanga,Dkt.
John Kanon Nkola.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church
Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili kwenye
kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule
ya Msingi wa ya Kanisa hilo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya
Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT
(Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo baadae
aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa
hilo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifungua
pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo
la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church
Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya
Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa hilo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya
Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya
Kahama Mjini.ambapo zaid ya Shilingi Milion 212 zilipatikana zikiwemo na
ahadi.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka kwa Marafiki zake.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
Michango kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khams Mngeja

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
AICT (Africa Inland Church Tanzania) Dayosisi ya Shinyanga,Dkt. John
Kanon Nkola mara baada ya kuendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa
ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland
Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaidi ya Shilingi
Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
0 comments:
Post a Comment