Monday, September 9, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
BEKI  nyota wa Asernal, Mjerumani, Per Mertesacker amemsifia kocha wake Arsene Wenger kunasa jembe la ukweli,  Mesut Ozil kutoka Real Madridi licha ya kutumia fedha nyingi zilizovunja rekodi ya klabu yake.
Wenger alitumia dau la pauni milioni 42.5 kwa nyota huyo wa Ujerumani na kuvunja rekodi ya klabu ya Arsenal akiwa kocha mkuu.
Lakini, Mertesacker, amesema Ozil wanayecheza pamoja timu ya taifa atafanya makubwa na kufanikiwa kisoka zaidi akiwa na Arsenal.
“Nadhani anastahili dau alilopewa na Asernal,  Mertesacker aliliambia gazeti la Sportsmail.
‘Ni mchezaji wa aina yake na nafikiri hajafikia kiwango cha mwisho kwa sasa, ana nafasi ya kutisha zaidi”.
 ”Atafaa sana. Ataifaa Asernal. Wote tunahitaji kucheza na yeye tukiwa timu moja, nadhani mchango wake kwa klabu utakuwa mkubwa sana”.
Defence: Per Mertersacker says Arsene Wenger has got value for money in his move for Mesut Ozil 
Beki kisiki: Per Mertersacker amesema Arsene Wenger amepata jembe la ukweli,  Mesut Ozil
Smash signing: German international Mesut Ozil signed for Arsenal from Real Madrid 
Usajili wa nguvu: Nyota raia wa Ujerumani,  Mesut Ozil alijunga na Arsenal akitokea Real Madrid
Top dog: Mesut Ozil completed his switch to Arsenal on transfer deadline day 
Dume la nguvu: Mesut Ozil alikamilisha uhamisho wake kujiunga na Arsenal siku ya mwisho ya usajili
German: Per Mertesacker attends a press conference ahead of a world cup qualifier against Faroe Islands 
Ujerumani: Per Mertesacker alihudhuria mkutana na waandishi wa habari wakati wa mechi ya kuwania kufuzu fainali ya kombe  la dunia dhidi ya visiwa vya  Faroe Islands

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video