





Mkimbiza
Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi
cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi Juma
Ali Simai ambaye ndiye Kiongozi wa mbio hizo kitaifa katika halfa
ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza
Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko Mnazi mmoja Mkoani humo.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
0 comments:
Post a Comment