Bi.
Zafarani Madayi, Mkuu wa Usalama Barabarani na Mazingira TANROADS
akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhe. Eng. Gerson
Lwenge siku ya kufunga maonyesho ya Usalama Barabarani yaliyofanyika
kitaifa CCM Kirumba, mkoani Mwanza tarehe 27 Septemba 2013.Wafanyakazi
wa TANROADS wakipongezana baada ya kupewa cheti cha kishiriki Wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani 2013 mkoani Mwanza. Wananchi walielimishwa
kupitia vipeperushi, majarida mbalimbali na kwa mfano wa barabara njia
sahihi ya matumizi ya barabara, kutokuzidisha uzito kwenye magari,
athari za kuiba alama za barabarani na madhara ya kuvamia hifadhi ya
barabara. Wafanyakazi wa TANROADS wakiwa katika picha ya pamoja
Home
»
»Unlabelled
» MAONYESHO YA USALAMA BARABARANI YAMALIZIKA MWANZA
Saturday, September 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment