Polisi
wa Kitego cha Elimu, Trafiki Mkoa wa Mwanza, Francis Muganyizi akitoa
elimu kwa wananchi jinsi madereva wanatakiwa wawe waangalifu kwa kujua
alama za barabarani wakati wanapokuwa wanaendesha gari barabarani.
Maonesho hayo ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani humo na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi yameingia siku ya pili leo
ambapo wananchi mbalimbali jijini humo wanaingia kwenye mabanda
mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba jiji humo kujifunza masuala
mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka
huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, SGT Pili Kaku akisikiliza kwa makini
maswali mbalimbali ya mwananchi wa jijini Mwanza (kushoto) aliyetaka
kujua jinsi jeshi hilo linavyofanya kazi ya uzimaji moto pamoja na
uokoaji. Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo
yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani Mwanza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi
jijini humo wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM
Kirumba kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu
ya maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE
NA SISI SOTE. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CPL Ibrahim Luena akitoa elimu kwa
wanachi juu ya buti za usalama wakati wa kuzima moto. Maonesho ya Wiki
ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani
Mwanza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo wanaingia kwenye
mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba kujifunza masuala
mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka
huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wananchi
wakiwa ndani ya Banda la Wizara ya Ujenzi wakiuliza maswali mbalimbali
jinsi wizara hiyo inavyosimamia ujenzi wa barabara nchini. Maonesho ya
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa
Mkoani Mwanza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo wanaingia kwenye
mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba kujifunza masuala
mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka
huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment