Wednesday, September 11, 2013

Na.1 
Baadhi ya wananchi wakiangalia  vitenge vinavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. Na. 2Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akitoa maelezo ya bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho. Na. 3Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho. Na. 4Mfanyakazi wa kampuni ya Orientar Holdings (African Showcase) Rosemary Michael akitoa maelezo kuhusu utengenezaji na uagizaji wa vitenge kutoka nchini China.
Picha zote na Magreth Kinabo-Maelezo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video