KLABU
ya Manchester United imefungwa kwa mara ya kwanza na West Brom Uwanja
wa Old Trafford tangu 1978 baada ya kulala 2-1 jioni hii.
Mabao
ya Morgan Amalfitano dakika ya 54 na Saido Berahino dakika ya 67 wa WBA
na Wayne Rooney wa United dakika ya 57 yalitosha kutengeneza matokeo ya
leo.
Kikosi
cha United kilikuwa: De Gea, Jones, Ferdinand, Evans, Buttner, Nani,
Carrick, Anderson/Fellaini dk67, Kagawa/Januzaj dk46, Rooney,
Hernandez/Van Persiedk 58.
West
Brom: Myhill, Jones, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob, Mulumbu,
Amalfitano, Sessegnon/Rosenberg dk90, Sinclair/Berahino dk13,
Anichebe/Lugano.
Dogo hatari: Saido Berahino akishangilia baada ya kuifungia West Brom bao la pili dhidi ya Manchester United
Mshituko: West Brom wakishangilia bao na Berahino baada ya kufunga katika dakika ya67
Haamini
kilichotokea: Rooney akiwa na mshituko mkubwa baada ya Man United
kutoka nje ya timu 10 katika msimamo wa ligi kuu soka nchini England
Wazee hii balaa: Wachezaji wa Manchester United akiwemo David De Gea wakiwa wamekata tamaa
Katika
mechi nyingine kubwa la, bao la Nahodha John Terry dakika ya 65
limeinusuru Chelsea kulala mbele ya Tottenham baada ya sare ya 1-1.
Timu zote zinafundishwa na makocha Wareno, Andre Villas-Boas wa Spurs na Jose Mourinho wa Chelsea.
Tottenham ilitawaa kipindi cha kwanza na kupata bao la kuongoza kupitia kwa Gylfi Sigurdsson dakika ya 20.
Kikosi
cha Spurs kilikuwa: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Naughton,
Paulinho, Dembele, Townsend/Chadli dk62, Eriksen/Holtby dk69,
Sigurdsson, Soldado/Defoe dk76.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Terry, Cole, Mikel/Mata dk46, Lampard, Ramires, Oscar/Azpilicueta dk82, Hazard/Schurrle dk69, Torres.
La kusawazisha: John Terry ishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha
Kichwa: Terry akipiga kichwa kuunganisha mpira wa adhabu wa Juan Mata
La kwanza: Gylfi Sigurdsson akiteleza kufunga bao la kuongoza la Tottenham
Mtu muhimu: Sigurdsson akiondoka kushangilia baada ya kufunga Uwanja wa White Hart Lane
Nyekundu ya Torres, nje
MATOKEO YA MECHI HIZO, LAKINI SWANSEA NA ARSENAL BADO WAKO UWANJANI
Finished
|
Tottenham
|
- |
Chelsea
|
(1-0) | ||||||
Finished
|
Southampton
|
- |
Crystal Palace
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Manchester United
|
- |
West Bromwich Albion
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Hull
|
- |
West Ham
|
(1-0) | ||||||
Finished
|
Fulham
|
- |
Cardiff
|
(1-1) | ||||||
Finished
|
Aston Villa
|
- |
Manchester City
|
0 comments:
Post a Comment