MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI NDG. BURIKUKIYE VICTOR AWASILI TANZANIA Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Ndg. Burikukiye Victor katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mara baada ya kumpokea
0 comments:
Post a Comment