Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KWA
mara ya kwanaza, Neymar na Lionel Messi wameanza kazi pamoja hapo jana
baada ya wote kufunga katika mechi moja dhidi ya Real Sociedad ya La
liga tika dimba lao la Nou Camp na kuibuka na ushindi mnono wa mabao
4-1.
Barcelona
wameendelea kufanya vizuri katika harakati zao za kutetea ubingwa wao
msimu huu, huku Neymar akifunga bao lake la kwanza La Liga wakati mkali
Messi akijipigia la saba msimu huu.
Wakali wawili: Lionel Messi akishangilia bao lake ambalo lilitengenezwa na Mbarazil Neymar
La kwanza kati ya mengi yajayo: Neymar akishangilia bao lake kwa kwanza katika ligi ya La Liga
Waliofunga mabao: Neymar 5, Messi 8, Busquets 23, Bartra 77
Kikosi cha Real Sociedad: Bravo; Estrada, Cadamuro, Martinez, De la Bella; Bergara, Ros, Prieto, Sangalli; Seferovic, Griezmann
Aliyefunga bao: De la Bella 64
Kikosi cha Real Sociedad: Bravo; Estrada, Cadamuro, Martinez, De la Bella; Bergara, Ros, Prieto, Sangalli; Seferovic, Griezmann
Aliyefunga bao: De la Bella 64
Barcelona na Atletico Madrid ni timu zenye ushindi wa asilimia 100 baada ya kushinda mechi zote sita kati ya sita msimu huu.
Kijana kutoka Brazil: Neymar akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao lake la kwanza La Liga
Kijana Mrefu: Sergio Busquets (katikati) akipewa tano na wakali wenzake baada ya kutundika kitu cha tatu kimiani
Lionel Messi akishughulisha msitu wa Sociedad
Risasi ya mwisho: Mlinzi wa Barca Marc Bartra (wapili kushoto) akikamilisha safari ya ushindi wa mabao 4-1
MATOKEO KWA UJUMLA YALIKUWA
Spain: LIGA BBVA
Finished
|
Espanyol
|
- |
Athletic Bilbao
|
(1-1) | |||||
Finished
|
Barcelona
|
- |
Real Sociedad
|
(3-0) | |||||
Finished
|
Levante
|
- |
Valladolid
|
(1-1) | |||||
Finished
|
Malaga
|
- |
Almeria
|
(0-0) | |||||
Finished
|
Atletico Madrid
|
- |
Osasuna
|
(2-1) |
0 comments:
Post a Comment