Saturday, September 7, 2013



Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
NAHODHA wa Manchester City, Vincent Kompany yuko hatarini kuukosa mchezo wa watani wa jadi wa jiji la Manchester “Manchester derby” mwishoni  mwa mwezi huu kati ya Mnchester City dhidi ya Manchester United baada ya taarifa kuonesha kuwa nyota huyo atakaa nje ya uwanja mpaka mwezi wa 10 kutokana na majeraha ya kinena.
Kompany aliumia katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu soka nchini England dhidi ya Newcastle United `paka weusi` katika dimba la Etihad.
Awali Kompanyalitarajiwa kureja uwanjani katika mechi ya United septemba 22, lakini kocha wake Manuel Pellegrini ameachwa hoi na taarifa za nyota huyo kutorejea katika kipute hicho.
Nightmare: Vincent Kompany could be out until October, making him a doubt for the Manchester derbyJanga kubwa: Vincent Kompany anaweza kukaa nje ya uwanja mpaka mwezi oktoba na ataikosa mechi ya watani wa jadi
Spectator: Kompany watched Belgium beat Scotland 2-0 at Hampden Park on FridayShabiki: Kompany alikuwa shabiki katika mchezo wa timu yake ya taifa ya Ubelgiji dhidi ya  Scotland 2-0  katika dimba la Hampden Park jana ijumaa na timu yake kushinda 2-0

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video