Monday, September 16, 2013

  • ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEA
  • AWAAGIZA VIONGOZI WA CHAMA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI
  • APONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
  • ASEMA KATIBA HAITABADILISHA MAISHA KAMA KUFUMBA NA KUFUMBUA MACHO.
  • AWAAMBIA WATENDAJI WA SERIKALI HAWANA BUDI KUTEMBELEA WANANCHI BADALA YA KUJIFUNGIA OFISINI
  • ASIKITISHWA NA UZEMBE WA KUTOWAPA TAARIFA WANANCHI KWA WAKATI
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pole John Shilindi mtoto wa Balozi wa Shina namba 1 kata ya Dakama wilaya ya Maswa aliyefariki hivi karibuni.
Kikundi cha Ngoma kikionyesha uwezo wake wa kucheza ngoma ya Pudini ambao ni wasukuma wachunga Ng’ombe wakati wa mapokezi ya Katibu mkuu wa CCM wilayani Meatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili wilaya ya Meatu tayari kwa ziara ya siku moja wilayani hapo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mbao baada ya kuzindua mradi wa ufundi selemala katika kata ya Bomani, wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video