Wednesday, September 11, 2013

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusiana na tamasha kubwa la “Kili Music Tour litakalofanyika siku ya Jumamosi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, ambapo kiingilio kitakuwa sh. 2500 pamoja na  bia moja ya bure.(kulia katikati)Diamond,na Madee,pamoja na wasanii wengine. 002 
Madee akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
(Picha na Philemon Solomon wa Fullshangwe Dar es salaam)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video