Saturday, September 7, 2013



Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
SASA amedhihirisha kuwa ni mchezaji ghali zaidi katika sayari hii ya tatu yaani Dunia.
Jana Gareth Bale akiwa anapasha misuli yake moto wakati wa mapumziko, alivamiwa na mashabiki wawili wa soka ambao wametafsiriwa kama waliingia kufurahia nafasi ya kumuona nyota huyo wa dunia.
Nyota huyo wa Real Madrid mwenye thamani ya pauni milioni 86 alionekana kushangazwa baada ya mashabiki kuingia uwanjani wakati wa mapumziko na yeye akiwa anapasha pasha , lakini lengo la mashabiki hao lilikuwa kufurahi naye huko Macedonia. 
Too close: Two fans confront Gareth Bale during half-time warm upKaribu sana: Mashabiki wawili waliingia kumzonga  Gareth Bale wakati akipasha misuli moto kipindi cha mapumziko
Winga huyo wa  Wales alikuwa akifanya mazoezi ya kuweka sawa misuli yake pamoja na mchezaji mwenzake wa akiba,  Adam Matthews wakati alipovamiwa na mashabiki hao wawili.
Kiungo wa Celtic Matthews  alimsaidia Bale ili kulinda usalama wake kabla ya wana usalama kufika , na Bale alikuwa anacheka tu kutokana na tukio lile.
Two fans and Wales' player Gareth BaleWawili wameingia: wavamizi wa uwanja wakumzonga Gareth Bale  wakati wa mapumziko
gareth baleAnasaidiwa: TV ilionesha mchezaji mwenzake Adam Matthews akimsaidia Bale
Security react as two fans try to hug the Wales' player Gareth Bale, right,Bale amesaidiwa: wana usalama wakiwadhibiti wahalifu hao
Lakini hiyo ni kengele ya kumkumbusha Bale mwenye miaka 24 kuyazoea maisha ya `usupa staa` baada ya kuvunja rekodi ya usajili ya dunia akitoka klabu ya Spurs ya kaskazini mwa London, nchini England.
Bale alikuwa mchezaji wa akiba katika mchezo wa jana wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia huko Skopje  ambako walipoteza mchezo kwa  mabao mawili 2-1.
Ball boys: Bale and Matthews warm up at half-timeVijana wa soka: Bale na  Matthews  wakipasha moto misuli kipindi cha mapumziko
Hands on: But what is Bale driving at?Wamekalia benchi

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video