Tuesday, September 10, 2013


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo asubuhi tayari kuanza ziara yake ya siku nne mkoani humo katika kuimarisha chama na Kuhamasishwa wananchi katika kushiriki kwenye shughuli za maendeleo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-ISAKA2 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji mdogo wa Isaka
5h 
Viongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Akisalimiana na  viongozi mbalimbali wa chama wakati alipowasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama leo asubuhi. 6 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Khadija Kusaga aliyewahi kuwa Mkuu wa  Wilaya ya Temeke  3 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ezekiel Maige mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama katika mkoa wa Shinyanga 15 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kipaza sauti Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakati wakiongea na wananchi katika mji wa Isaka, katikati ni Khameja  Mwenyekiti wa CCM  mkoa wa Shinyanga 14 
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo. 13 
Waananchi wakinyanyua mikono juu wakishangilia wakati Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye hayupo pichani akiongea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video