Wednesday, September 4, 2013


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SILAFRICA Bw Alpesh Patel ambao ni watengenezaji wa vifaa vya plastiki yakiwemo matanki ya kuhifadhia maji ya SIMTANK akisoma taarifa fupi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Tanki jipya la Kuhifadhia maji liitwalo SIMTANK la Bluu lenye Ubora wa hali ya juu wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya uliofanyika katika ofisi zao zilizopo Chang’ombe Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni ya SILAFRICA Alpesh Patel akimuonyesha Mwanafunzi Wa Shule ya Msingi sehemu ya Kukata Utepe Ikiwa kama Ishara ya Uzinduzi wa SIMTANK jipya lenye ubora wa hali ya juu wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya uliofanyika katika Ofisi zao zilizopo Chang’ombe Jijini Dar Es Salaam
Baadhi ya wanafunzi wanaosomeshwa na Kampuni ya SILAFRICA ikiwa kama sehemu ya kurudisha faida kwa jamii wakiwa makini katika uzinduzi wa SIMTANK jipya lenye ubora wa hali ya juu.
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya SILAFRICA Alpesh Patel Akikata keki yenye mfano wa SIMTANK lililozinduliwa leo jijini Dar Es Salaam pamoja na Mwanafunzi wa Shule ya Msingi kama Ishara ya Kuzindua tanki Jipya la SIMTANK la Bluu linalotengenezwa na kuuza na Kampuni ya SILAFRICA kupitia kwa mawakala wake
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SILAFRICA Alpesh Patel ambao ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki yakiwemo matanki ya kuhifadhia maji ya SIMTANK akionyesha ubora wa tanki hilo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) endapo tanki hilo la SIMTANK la bluu hata kama likikanyagwa au kukandamizwa baadae linarudi kwenye hali yake ya kawaida bila kuwa na nyufa au kupasuka
SIMTANK jipya kutoka Kampuni ya SILAFRICA ambao ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki yakiwemo Mantaki ya SIMTANK likiwa limeminywa Na gari la kubeba vitu vizito wakati wa uzinduzi wa SIMTANKI jipya la Bluu katika ofisi zao zilizopo Maeneo ya Chang’ombe Jijini Dar Es Salaam jana
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SILAFRICA Bw Alpesh Patel ambao ndio watengenezaji wa bidhaa za plastiki yakiwemo matanki ya SIMTANK akionyesha tanki la SIMTANK jipya lililominywa na gari la kubeba vitu vizito wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya lenye ubora wa hali ya Juu baada ya kuanza kurudi kwenye hali yake ya kawaida mara baada ya kuminywa na gari la kubeba vitu vizito wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya la bluu uliofanyika jana Katika Ofisi zao zilizopo Maeneo ya Chang’ombe jijini Dar Es Salaam
Baunsa wa Wa SIMTANK akionyesha uwezo wake wa kutunisha misuli ikiwa kama ishara ya kuonyesha kuwa matanki yote yanayotengenezwa na kampuni ya SILAFRICA yana ubora wa hali ya juu na magumu na yenye kuaminika na wateja zaidi ya Milioni Moja Afrika Mashariki.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video