Mh.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman
akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao
yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa
kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Afrika
Mashariki inayoendelea leo katika hoteli ya Holiday Inn jijini Dar es
Salaam.
Mh.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman
(Kushoto) akizunguma jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Mh.
Amiri Manento (kuilia) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za
binadamu na utoaji wa haki kwa yanayofanyika katika hoteli ya Holoday
Inn leo jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu
wa Masuala ya Utawala bora wa UNDP Tanzania Grainne Kilcullen akiwaasa
Mahakimu Wakazi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na
utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume za Haki za Binadamu akionea na baadhi ya waandishi wa habari
mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki
kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mahakimu Wakazi kanda ya Dar es Salaam wakihudhuria mafunzo ya haki
za binadamu na utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn
leo jijini Dar es Salaam
Mweyekiti
wa Tume za Haki za Binadamu akiongea wakati ufunguzi wa mafunzo ya
haki za binadamu na utoaji wa haki kwa mahakimu wakazi yanayofanyika
katika hoteli ya Holoday Inn leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eleuteri Mangi -Maelezo
0 comments:
Post a Comment