AFISA
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu mwenye miwani
akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. Mil. 13 kwa Daktari wa Upasuaji
katika hospitali ya Tumbi Kibaha, Pwani,hiyo Dkt. Petter Datan,
katikati ni Mkuu wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Pwani
Nassoro Sisiwaya katikati ni mmoja wa madaktari wa hospitali hiyo.
(PICHA NA MWENGE SAID).
Mganga
mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro dk Godfrey Mtey kushoto
akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Afisa Uhusiano wa kampuni ya bia ya
TBL, Doris Malulu yenye thamani ya sh14.6 milioni ili kuweza kutumika
wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ikihusisha
madereva wa nagari kupima afya katika mizani ya Mikese mkoa wa
Morogoro, katikati ni Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro,
Boniface Mbao.
0 comments:
Post a Comment