Monday, September 9, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KOCHA wa timu ya Taifa ya England, maarufu kwa jina la `Simba Watatu` Roy Hodgson ameielezea mechi ya kesho dhidi ya Ukraine mjini Kiev kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia mwakani nchini Brazil kuwa ni kama mechi ya fainali ya kombe hilo kubwa duniani.
Mataifa hayo mawili yanatofautiana kwa pointi moja tu katika kundi lao la H na yamebakiwa na mechi tatu, huku kila taifa likihitaji ushindi na kufuzu kwenda Brazil.
Hata hivyo Hodgson amethibitisha kuwa kiungo mkongwe, Frank Lampard atafikisha mechi ya 100 akiichezea timu yake ya Taifa katika uwanja Olympic mjini Kiev hapo jesho usiku na lengo lake ni kubadili timu iliyoanza dhidi ya Moldova ijumaa usiku.
Up for the cup: Hodgson and Gerrard are braced for a crunch clash with Ukraine in Kiev on Tuesday night 
Mpaka Brazil: Hodgson na Gerrard wakiongelea mchezo mkali wa kesho usiku dhidi ya Ukraine mjini Kiev
Hodgson alisema: “Ni kama mechi ya fainali na tumeupa heshima hiyo, lakini tunatakiwa kucheza kadri iwezekavyo kupata ushindi. Tunatakiwa kupigana. Wachezaji wanajua tunachotaka na wanajiamini sana”.
Lampard atacheza sambamba na wakali wenzake waliofikisha mechi 100 wakiichezea timu yao ya Taifa, nahodha Steven Gerrard na mlinzi Ashley Cole.
Leisurely stroll: The England players went for a relaxing walk around Kiev on Monday afternoon 
Wanakula bata kabla ya kazi kesho: Wachezaji wa timu ya Taifa ya England wakitembea tembea mjini Kiev leo mchana mjini Kiev kabla ya kibarua cha kesho dhidi ya Ukraine
All smiles: Lampard will make his 100th appearance for England on Tuesday night 
Tabasamu la nguvu: Lampard kesho atafikisha mechi ya 100 akiichezea timu yake ya Taifa ya England
Job Wel done: England were comfortable winners against Moldova but will be without their two-goal striker 
Kazi nzuri: England walifurahia ushindi dhidi ya Moldova, lakini watawakosa wafungaji wao wawili wa mabao mawili

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video