Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka 2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi ya Benjamin William Mkapa iliyofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Senkoro akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkuregenzi wa Taasisi hiyo Dkt.Ellen Senkoro

Rais Mstaafu wa awamu ya tatuTanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bw .Jonson Mshana mwakilishi kutoka Banki M katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bi .Rahel Sheiza Mkurugenzi Mipango wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini matukio mbalimbali katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka 2013-2018 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki wa nyumba ya vipaji Tanzania(THT) wakitoa burudani kwa wageni waalikwa waliofika katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango makakati kwa mwaka 20013-2018 wa Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Picha zote na Lorietha Laurence -Maelezo
0 comments:
Post a Comment