Monday, September 2, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KLABU ya Arsenal amemsajili nyota wa Reak Madrid,  Mesut Ozil  kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni42.5.
Nyota huyo raia wa Ujerumani amesaini mkataba wa miaka mitano na mshahara wa pauni laki mbili na elfu 40.
Kiungo huyo amepima vipimo vya afya leo nchini Ujerumani, na licha ya  Saint-Germain  kutaja ofa nzuri zaidi mapema leo, nyota huyo ameamua kujiunga na washika bunduki wa London.
Kocha wa Arsenal , Arsene Wenger  alimtafuta nyota huyo miaka sita iliyopita, lakini  sasa Ozil ameshawishiwa na Mjerumani mwenzake Per Mertesacker na kocha Wenger mwenyewe.
Star saviour: Ozil has joined Arsenal for a club-record £40million feeNyota mkombozi: Ozil amejiunga na Arsenal kwa klabu hiyo kuvunja rekodi ya usajili wa pauni milioni42.5
Stint: Ozil has played 158 times for Real in just over three yearsMkali wa kweli: Ozil  amecheza mechi 158  akiwa na Real kwa miaka mitatu aliyokaa 
Fanatic: Arsenal fans show their support for Ozil outside their training ground in ColneyWanamkubali sana:  Mashabiki wa Arsenal wakionesha kumsapoti  Ozil nje ya uwanja wa mazoezi wa Asernal wa  London Colney

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video