Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa(katikati)
akigonganisha vikombe na wanafunzi wa shule ya msingi Kerege Bagamoyo
pamoja na Raisi wa Daressalaam Rotary Club,mwenye miwani bi Nadine
Atallah kama ishara ya kufurahia huduma ya maji safi katika shule hiyo.
Klabu hiyo ndio imeligharamia mradi huo.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa (wa tatu kushoto)
akikata kamba kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa maji safi ya kunywa
katika shule ya msingi Kerege Bagamoyo
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa(katikati) akinywa
maji mara tu baada ya kuzindua mradi wa maji safi ya kunywa katika shule
ya msingi Kerege Bagamoyo, kushoto ni Raisi wa Daressalaam Rotary Club
bi Nadine Atallah. Klabu hiyo ndo wadhamini wa Mradi huo. Wengine ni
wanafunzi wa Shule hiyo.
0 comments:
Post a Comment