KATIBU
wa NEC, Oganaizesheni Dk. Mohamed Seif Khatib, akimkaribisha Katibu wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha ANC cha Afrika
Kusini Billy Masetlha (kushoto) alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, jana, kwa ajili ya mazungumzo na
kuwasilisha, Makubaliano ya viongozi wa vyama vya mstari vya ukombozi
kusini mwa Afrika, yaliyofikiwa na viongozi hao katika mkutano wao wa
Machi 7, mwaka huu mjini Pretoria, Afrika Kusini.
KATIBU
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha ANC cha Afrika
Kusini Billy Masetlha (kushoto) alikimkabidhi Katibu wa NEC ya CCM,
Ogamaizesheni, Muhamed Seif Khatib, kabrasha la Makubaliano ya viongozi
wa vyama vya mstari vya ukombozi kusini mwa Afrika, yaliyofikiwa na
viongozi hao katika mkutano wao wa Machi 7, mwaka huu mjini Pretoria,
Afrika Kusini, jana, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam.
KATIBU
wa NEC, Oganaizesheni Dk. Mohamed Seif Khatib, akizungumza na Katibu wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha ANC cha Afrika
Kusini Billy Masetlha (kushoto) alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na
kuwasilisha, Makubaliano ya viongozi wa vyama vya mstari vya ukombozi
kusini mwa Afrika, yaliyofikiwa na viongozi hao katika mkutano wao wa
Machi 7, mwaka huu mjini Pretoria, Afrika Kusini.
KATIBU
wa NEC, Oganaizesheni Dk. Mohamed Seif Khatib, akiwa katika picha ya
pamoja na Katibu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama
Cha ANC cha Afrika Kusini Billy Masetlha (kushoto) alipowasili Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya
mazungumzo na kuwasilisha, Makubaliano ya viongozi wa vyama vya mstari
vya ukombozi kusini mwa Afrika, yaliyofikiwa na viongozi hao katika
mkutano wao wa Machi 7, mwaka huu mjini Pretoria, Afrika Kusini. Wengine
kushoto ni Ofisa kutoka ANC Lebogang Matshaba na kulia ni Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida
0 comments:
Post a Comment