Tuesday, September 3, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
JITIHADA za Romelu Lukaku kuendelea kubakia Chelsea chini ya kocha Jose Mourinho baada ya kucheza kwa mkopo kwa  muda mrefu  katika klabu ya West Brom, sasa janga limemkuta tena baada ya kocha wake kumtoa tena kwa mkopo wa muda mrefu  klabu ya Everton.
Japokuwa amekaa kwa wiki kadhaa msimu huu katika kikosi cha Chelsea, Lukaku amecheza mechi tatu akitoka benchi na mara ya mwisho alicheza katika fainali ya Super Cup na kukosa penati iliyowapa ubingwa  Bayern Munich na sasa ametupwa kwa mkopo wa muda mrefu katika dimba la Goodison .
Got the Blues: Chelsea's Romelu Lukaku has joined Everton on a season-long loan dealAmesepa tena: Nyota wa Chelsea,  Romelu Lukaku amejiunga kwa mkopo wa muda mrefu na klabu ya  Everton 
Roberto Martinez amefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji huyo licha ya kukata tamaa na pamoja na kutakiwa pia na West Brom ambako mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20alicheza kwa mkopo msimu uliopita- akifunga mabao 17 katika Ligi Kuu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video