Thursday, September 19, 2013

Katibu Mkuu wa CUF Hamad Masoud (wakatikati) akizungumza na wandishi wa Habari kuelezea mambo mbilimbali yanayoendea Nchini, kulia Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Omar Ali Shehe na kushoto Mkurugenzi wa Haki za Binaadam Salum Bimani,katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja. 02 
Mjumbe wa Baraza Kuu la CUF Omar Ali Shehe wa kwanza kulia akielezea kitu kwa wandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uwandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga Kura, katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja. 03 
Baadhi ya wandishi waliohudhuria katika Mkuta huo, katika Ofisi ya CUF Vuga Mjini Unguja sep 19.
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video