Mrembo
Clara Bayo akipunga mkono mara baada ya kutangwazwa kuwa mshindi wa
Taji la Redd’s Miss Tanzania Sports Woman 2013 juzi wakati wa tamasha la
michezo la warembo wanao wania taji la Miss Tanzania 2013. Bayo
alifanya vyema katika michezo kadhaa na kujizolea point nyingi na
kuwashinda warembo wengine 29.
Kwa
Taji hilo Clara Bayo ambaye anatoka Kanda ya Ilala, amekuwa mrembo wa
nne kuingia nusu fainali za Mashindano hayo makubwa ya urembo nchini
ambayo fainali zake zitafanyika Ukumbi wa Mlimani City Septemba 21 mwaka
huu.
Clara Bayo akipozi kwa picha.
Michezo mingene mbalimbali ilifanyika kama kukimbia, kukimbia na magunia, kuruka chini, Volleyball na kuogelea ilifanyika.
0 comments:
Post a Comment