Bondia Zumba Kukwe (kushoto) akimtupia ngumi Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika kwenye ukumbi wa Temeke Mikoroshini ambapo ni nyumbani kwa hamaduu Kukwe alishina kwa K,o ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Refarii Sako Mtlya katikati akimwesabia bonia Hamadu Mwalimu baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Zumba Kukwe kulia Kukwe alishina mchezo huo ka K,O ya raundi ya tatu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Zumba Kukwe akisagilia ushindi na Kocha wa Mkoa wa Pwani Agostin Uyaga baada ya kwisha mpambano huo |
Bondia Mbena Rajabu Kushoto na Kassim Rajabu wakipambana wakati wa mpambano wao wa utangulizi |
Matokeo ni Droo |
Bondia Saidi Mwalimu kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zakaria Kibwana wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wea super sterio mwalimu alishinda kwa ko, ya raundi ya nne |
0 comments:
Post a Comment