Bashir anatuhumiwa kwa mauaji ya kimbari katika jimbo la Darfur.
Katika
taarifa kwa vyombo vya habari Bashir amesema kuwa tayari amekodisha
chumba cha kulala katika hoteli moja mjini humo na kwamba hatishiki
kukamatwa na Marekani kwa kuwa sio mwanachama wa ICC.
Hata
hivyo haijulikani iwapo atapewa viza kwa kuwa imekuwa utamaduni wa taifa
hilo ambalo limetoa vibali hivyo kwa viongozi kama Robert Mugabe wa
Zimbabwe na Mahmoud Ahmedinejad wa Iran kuhudhuria mkutano huo.
CHANZO: BBC SWAHILI
0 comments:
Post a Comment