Wednesday, September 11, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
BAADA ya mishemishe zote, hatimaye, Gareth Bale ataitumikia kwa mara ya kwanza klabu yake ya Real Madrid mwishoni mwa wiki hii-lakini anaweza akatumika nafasi ya beki wa kushoto?
Mchezaji huyo mwenye thamani kubwa zaidi duniani atakuwa beki pekee wa kushoto katika kikosi cha Carlo Ancelotti  baada ya mabeki wote wa pembeni  Marcelo na Fabio Coentrao kupata majeruhi katika mechi zao za kimataifa na timu zao za Taifa.
Mbrazil Marcelo aliumia mguu  wakati wa mechi ya kirafiki baina ya timu ya Taifa ya Brazil dhidi ya  Australia wikiendi iliyopita ambapo vijana hao wa Samba walishinda mabao 6-0 na alikosa mechi ya leo mapema dhidi ya Ureno, mechi ambayo Brazil wameshinda mabao 3-1.
Cameo: Gareth Bale came off the bench in Wales' defeat to Serbia on Tuesday night 
Jembe la ukweli: Gareth Bale alitokea benchi katika mechi ya Timu yake ya Taifa ya Wales jumanne usiku
Cameo: Gareth Bale came off the bench in Wales' defeat to Serbia on Tuesday night 
Je, ataweza kufurukuta kwa mara ya kwanza?
Blow: Fabio Coentrao limped out of Portugal's friendly defeat to Brazil  
Janga: Fabio Coentrao aliumia katika mchezo wa kirafiki baina ya Brazil na Ureno
Doubt: Marcelo (left) is also injured, meaning Bale could make his Real Madrid debut at left back 
Wasiwasi: Marcelo (kushoto) ameumia pia na hii ina maanisha Bale anaweza kucheza mechi ya kwanza akiwa Real madrid nafasi ya beki wa kushoto
Main man: Bale finally completed his £86milion move from Tottenham to Real Madrid last week 
Mtu muhimu: Bale alikamilisha uhamisho uliovunja rekodi ya dunia wa pauni milioni 86 kutoka Spurs ya England kujiunga na Real Madrid wiki iliyopita

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video