Monday, September 9, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KLABU ya Real Madrid inatarajia kusajili mshambuliaji mpya katika dirisha dogo la usajili januari mwakani ambapo amewaweka katika rada zake, nyota wa Liverpool,  Luis Suarez na mashine ya Monaco, Radamel Falcao ,  na hii ni kulingana na gazeti la Hispania la  Marca.
Majira ya usajili ya kiangazi, Miamba hiyo ya soka la Hispania aliwauza washambuliaji wake,  Gonzalo Higuain na Jose Callejon kwenda klabu ya Napoli  na kuwaacha wawili tu,  Karim Benzema na kinda Alvaro Morata wakiwa ni washambuliaji wa katikati.
Japokuwa Cristiano Ronaldo anaweza kucheza akiwa mshambuliaji wa kati, lakini kocha Carlo Ancelotti anataka kutumia pesa aliyonufaika katika mauzo ya  Mesut Ozil kwenda Arsenal kununua mshambuliaji mpya.
Targets: Marca claim that Real Madrid will target Suarez or Falcao in January 
Kwenye rada: Gazeti la Marca limeeleza kuwa Real Madrid wanamuwania Suarez au Falcao katika dirisha dogo la usajili
Unhappy: Suarez hoped to leave Liverpool during the summer transfer window 
Hakuwa na furaha: Suarez alitumaini kuhama Liverpool wakati wa majira ya kiangazi
New boy: Falcao only joined Monaco in May but has already been linked with a move away 
Jembe jipya: Falcao alijiunga na Monaco  mwezi wa tano mwaka huu, lakini tayari anahusishwa kujiunga na Real Madrid
Big spenders: Florentino Perez presents Bale after signing him for a world record fee 
Dau kubwa; Florentino Perez akiwa na Gareth Bale baada ya kumsainisha kwa dau lililovunja rekodi ya Dunia
Pressure: Benzema is Madrid's only recognised senior striker 
Presha kubwa: Benzema ndiye mshambuliaji mkongwe pekee aliyesalia Real Madrid

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video