Sheikh
Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani
Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani
Morogoro.Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na
Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika
Mkutano Hadhara mwezi uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe
01.10.2013.Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.
Sheikh
Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza
kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
Sheikh Issa Ponda akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo kusikiliza kesi yake
Wafusi
wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya
Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro.
Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea.P
icha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
0 comments:
Post a Comment