Saturday, August 24, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Washika bunduki wa jiji la London, klabu ya Arsenal wamepata ushindi wa kwanza msimu huu baada ya leo hii mshambuliaji wao hatari, Lukas Podolski kufunga mabao mawili kati ya 3-1 waliyoshinda dhidi ya Fulham katika dimba la  Craven Cottage.
Kipigo cha mabao  3-1 katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu soka nchini England dhidi ya Aston Villa katika uwanja wao wa Emirates ulizua maswali mengi kwa mashabiki wa klabu hiyo juu ya kocha wao Arsene Wenger kutokana na kutosajili, lakini ushindi wa leo umezima kelele zote.
Pia ushindi 3-0  wa mechi za  hatua ya kwanza ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya  Fenerbahce na ushindi wa leo ambao umechangiwa na bao la kipindi cha kwanza la Olivier Giroud na mabao ya  Podolski kipindi cha pili yemepandisha morali kwa wana Arsenal.
Classy: Arsenal didn't look at team in disarray as they confidently swept Fulham asideArsenal imefanya kazi nzuri na kuwatundika Fulham 
Kikosi cha Fulham leo: Stockdale 5, Riether 5, Hughes 5, Hangeland 6, Riise 5, Duff 5 (Bent 59 – 6), Parker 6, Sidwell 6 (Karagounis 75), Taarabt 6 (Kacaniklic 62 – 6), Kasami 6, Berbatov 5
Wachezaji wa akiba: Ruiz, Briggs, Boateng, Etheridge
Bao: Bent 77
Kadi: Parker, Kasami
Kikosi cha Arsenal: Szczesny 6, Jenkinson 7, Sagna 7, Mertesacker 7, Gibbs 7, Ramsey 8, Rosicky 7 (Wilshere 70), Cazorla 7, Podolski 8 (Sanogo 81), Walcott 8, Giroud 7 (Monreal 72)
Wachezaji wa akiba: Fabianski, Frimpong, Gnabry, Zelalem
Mabao: Giroud 14, Podolski 41, 68
Kadi: Ramsey, Wilshere
Cool: Olivier Giroud was calm in front of goal as he opened the scoringKazi tu: Olivier Giroud aliandika bao la kwanza kimiani 
Make that two: Lukas Podolski thrashes in Arsenal's second before the breakAkipiga la pili: Lukas Podolski akifumania nyavu muda mfupi kabla ya kwenda mapumziko  
And another: The German international celebrates with Giroud after adding a thirdLingine tena: Mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani akishangilia bao lake la tatu na mwenzake Giroud 
Positive: Darren Bent got off the mark within 20 minutes of coming off the benchNaweza kama kawaida: Darren Bent aliifungia bao la kufutia macho Fulham dakika 20 tu tangu atoke benchi
MATOKEO YA MECHI ZOTE
England: Premier League
  

  
Finished
 
 Fulham
1-3
Arsenal 
 
(0-2)    
  
Finished
 
 Everton
0-0
West Bromwich Albion 
 
(0-0)    
  
Finished
 
 Stoke
2-1
Crystal Palace 
 
(0-1)    
  
Finished
 
 Southampton
1-1
Sunderland 
 
(0-1)    
  
Finished
 
 Newcastle United
0-0
West Ham 
 
(0-0)    
  
Finished
 
 Hull
1-0
Norwich 
 
(1-0)    
  
62′
 
 Aston Villa
0-1
Liverpool 
 
(0-1) 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video