Raia wa Kichina wakiangalia mazao mbalimbali ya nafaka na mikunde yanayozalishwa toka Magereza Mbalimbali ya Kilimo hapa nchini. Raia hao walionekana kuvutiwa zaidi na zao la Mtama aina ya Wahi toka Singida kama inavyoonekana(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
0 comments:
Post a Comment