Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma akizungumza katika uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wananfunzi kutoka Tanzania watakwenda kusoma katika chuo hicho kwa kozi za Master Degree in Software Engneering, Information Security na Computer ApplicationsMeneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wananfunzi kutoka Tanzania watakwenda kusoma katika chuo hicho kwa kozi za Master Degree in Software Engneering, Information Security na Computer Applications, wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dr Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn PostaMeneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent Mungi ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Profesa John Nkoma akionyesha mikataba hiyo mara baada ya uzinduzi rasmi wa kuanza kwa ushirikiano kati ya chuo Kikuu cha Galgotias University cha India na chuo cha Uhasibu cha Arusha Institute Of Accountancy Arusha (IAA) wanaoshuhudia tukio hilo kupiga makofi ni Mkuu wa Chuo cha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dr. Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn PostaMkuu wa Chuo cha IAA Profesa Johannes Monyo kushoto ba Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias wakibadilishana mikataba mara baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta, katikati ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent MungiMkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo kushoto na Dk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Golgotias, wakionyesha mikataba mara baada ya uzinduzi huo umefanyika jana kwenye hoteli ya Holiday Inn Posta, katikati ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Bw. Inocent MungiDr Suleiman Mohamed Mjumbe wa Baraza la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) akizungumza katika uzinduzi huoDk Ashok Saxsena Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Galgotias akielezea mipango mara baada ya kuingia mkataba wa ushirikiano na chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo janaWawakilishi wa vyuo mbalimbali na taasisi walioalikwa wakiwa katika hafla hiyoMkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Johannes Monyo akizungumza katika uzinduzi huo jana
VYUO VYA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA (IAA) NA GALGOTIAS UNIVERSITY CHA INDIA VYASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

0 comments:
Post a Comment