Sunday, August 11, 2013

P1040881Na Baraka Mpenja 
Wakata miwa wa mashamba ya miwa ya Manungu Turiani Mkoani Morogoro wameshindwa kutamba katika uwanja wa Jamhuri baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania Prisons wajelajela.
Katibu mkuu wa Prisons , sadick Jumbe amesema hali ya mchezo ilikuwa nzuri na timu zote zimechezesha vikosi vya kwanza na wachezaji wameonesha kiwango cha juu.
“Mechi ilikuwa nzuri sana kwetu na kipimo sahihi, Mtibwa Sugar walicheza vizuri sana na kutupa kipimo kizuri, lakini mwisho wa mchezo ndio hivyo tena mechi ikamalizika kwa matokeo hayo”. Alisema Jumbe.
Hapo kesho Prisons watacheza na Burkinafaso FC katika mchezo mwingine wa kirafiki.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video