Wednesday, August 14, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa sportsmail.com
Watukutu wa kaskazini mwa Tottenham wameendelea na mazungumzo ili kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Roma ya Italia, Erik Lamela kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 30.
Mkurugenzi wa Ufundi,  Franco Baldini anajua kuwa  Lamela  mwenye umri wa miaka 21 anaonekana kuimarika zaidi na kukua kisoka kila siku akiwa na Roma,  na anaamini anaweza kuenda sawa na mipango ya kocha wao,  Andre Villas-Boas mwenye mipango mizito ya kuisuka klabu hiyo.
AVB anataka kukuza mfumo wa uchezaji wa  4-3-3 na Lamela mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anaonekana kuwa chaguo sahihi.
Na Spurs wamekomalia usajili wa nyota huyo kwani watakosa huduma ya nguli wao wa mabao Gareth Bale msimu ujao kwani yuko njiani kujiunga na miamba ya soka la Hispania, Real Madrid.
Spurs bound? Tottenham are lining up a £30million bid for Eric Lamela, in action against Chelsea's Andre SchurrleSpurs hawatoki hapa? Tottenham wamejiingiza katika mbio za kumuwania kwa dau la pauni milioni 30,  Eric Lamela, ambaye pichani (Kulia) alikuwa katika kazi akipambana na mchezaji wa chelsea Andre Schurrle
Wanted: Lamela (right) can play anywhere along the front three in a 4-3-3 formationJembe la kumrithi Bale: Lamela (kulia) anaweza kucheza katika mfumo wowote na AVB anamhitaji ili amtumie katika mipango yake ya  4-3-3 .

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video