Wednesday, August 7, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ataangalia uwezekano wa kuhamia nje ya England endapo dili la kuhamia klabu ya Chelsea halitafanikiwa majira haya ya kiangazi.
Nyota huyo anatarajia kuwasilisha barua ya kuomba kuondoka wiki hii ili kukamilisha uhamisho wake kwenda Chelsea unaotarajia kugharimu pauni milioni 30.
United bado wanafanya jitihada za kuiwinda saini ya kiungo wa Everton,  Marouane Fellaini, huku wakiendelea kuweka msimamo wao wakutomuuza Rooney klabu yoyote inayoshiriki ligi kuu soka nchini England.
In the driving seat: Wayne Rooney is angling for a move away from Manchester United this summer Katika kiti cha kuendeshea: Wayne Rooney anataka kuondoka Manchester United majira haya ya kiangazi  
Rooney na Chelsea wanaamini kuwa United na kocha wake David Moyes watachemsha kumbakisha nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 kutokana na jinsi anavyosisitiza kuondoka kutokana na kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 9. 
Kama watashindwa, Rooney amesema ataangalia uwezekano wa kujiunga na klabu yoyote itakayomvutia duniani kuliko kuendelea kubakia Old Trafford.
Marouane Fellaini
 Anawindwa: Marouane Fellaini, akiwa mazoezini na Everton jana jumanne na sasa anatakiwa na  Manchester United 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video