Thursday, August 8, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Kiungo Mkongwe Frank James Lampard alicheza kwa mara ya kwanza majira haya ya joto, lakini alishindwa kuhimili mikikimikiki mizito ya mshambulaiji hatari wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Dos Santos Aveiro Ronaldo kuipatia shida za uwanjani Chelsea jana.
Kabla ya mechi hiyo na Real Madrid mjini Miami, kiungo huyo mkongwe alikosa mechi zote za kujiandaa na msimu za klabu, Stamford Bridge kutokana na kuwa majeruhi.
Lakini Lampard ameimarika na kuanza kazi tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Hull City, Agosti 18 baada ya kumaliza dakika 45 za kwanza katika Fainali ya Mabingwa wa Kimataifa wa Guinness.
Katika mechi hiyo, mabao mawili ya Ronaldo na moja Marcelo, yalitosha kuwalaza Chelsea Kwa jumla ya mabao  3-1.
Bao pekee la Chelsea lilifungwa na Mbrazil,  Ramires.  
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Casillas, Arbeloa, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric, Khedira, Isco, Ozil, Ronaldo na Benzema.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Terry, Cahill, Cole, Lampard, Van Ginkel, Ramires, Oscar, Hazard na Lukaku.
On target: Cristiano Ronaldo scored a brace as Chelsea went down to the La Liga giantsKama dawa kama kawaida: Cristiano Ronaldo aliwatungua Chelsea mabao mawaili jana
Party time: Real Madrid stars celebrate with the International Champions Cup after beating ChelseaFulll bata :  Nyota wa Real Madrid wakiwa pamoja kushangilia ndoo yao ya mabingwa wa kimataifa wa Guinness baada ya kuwatungua Chelsea
Lethal: Ronaldo blasted home a free-kick and later added a header to help Madrid secure the game Ronaldo akifunga bao kwa njia adhabu
Unloved: A Real Madrid fan holds up a banner showing he doesn't care that Mourinho left the clubHatuna shida: Shabiki wa  Real Madrid akiwa na bango liliondikwa kuwa hawajali hata kama Mourinho ameondoka klabuni kwao
Chinwag: Mourinho and former Chelsea boss, and current Madrid manager, Carlo Ancelotti, have a chatVipi mtu wangu, utaweza presha ya pale?: Mourinho na kocha wa zamani wa Chelsea , na sasa kocha wa  Madrid, Carlo Ancelotti, wakipiga stori kidogo baada ya mechi kumalizika

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video