Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Bw.Teo Siong Seng Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore ikulu jijini Dar es Salaam leo .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Bw.Teo Siong Seng Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore(wanne kushoto) na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment