Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC leo(picha na Freddy Maro Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakipokea heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Lilongwe kuhudhuria Mkutano wa wakuu wa nchi SADC leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana nawakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama muda mfupi baada ya kuwasili Lilongwe Malawi kuhudhuria Mkutano wa SADC(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment