Tuesday, August 13, 2013

balozi wa DRC Excellence Madame Clémentine Shakembo Kamanga,akiipongeza Ngoma Africa,mabalozi wengine wa nchi za kiafrika,ujerumani wakishuudiaBalozi wa DRC Excellence Madame Clémentine Shakembo Kamanga,akiipongeza Ngoma Africa,mabalozi wengine wa nchi za kiafrika,ujerumani wakishuudia.
…………………………………………………….
Si nyingine bali Ngoma Africa band aka FFU ilifanikiwa kuutetea ubingwa wake wa bendi bora na kujichukulia Tuzo ya kimataifa ya IDA kule mjini Tubingen,Ujerumani katika maonyesho ya kimataifa ya International African Festival Tubingen 2013.
Bendi hiyo maarufukwa kuwatia kiwewe washabiki na mdunduko wake imevunja rekodi kwa kuwa na washabiki wa kimataifa kila pembe.
Katika maonyesho ya International African festival 2013,yaliyofanyika mjini Tubingen,ujerumani Ngoma Africa band imekubalika sio na washabiki tu bali pia

mabalozi kutoka nchi mbali mbali za kiafrika nchini Ujerumani ! bendi
Tusikose kuwasikiliza Ffu hapa www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video