Viongozi wa Mbio za mwenge wakiwa na wananchi wa wilaya ya morogoro mjini wakati wa makabidhiano ya mwenge wa uhuru leo wakati mwenge huo ulipomaliza mbio zake wilaya ya Morogoro mjini na kukabidhiwa wilaya ya Morogoro vijijini
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa Na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye wakati wa mbio za mwenge
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye akikabidhi Mwenge wa uhuru kwa mkurugenzi wa wilaya ya Morogoro vijijini leo
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jorvis Simbeye akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Julis Madiga Mwenge wa Uhuru leo.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa na Mwenge wa Uhuru mara baada ya kukabidhiwa leo.
Wabunge wa majimbo ya Morogoro vijijini Mh Innocent kalogeris wa Jimbo la Morogoro kusini akiwa na Dk Lucy Nkya wa jimbo la Morogoro kusini mashariki leo wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru
0 comments:
Post a Comment