Friday, August 9, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
KOCHA wa Chelsea, Mreno Jose Mourinho amesema atapigana kufa na kupona mpaka siku ya mwisho katika jaribio lake la kumsajili mshambuliaji wa Manchster United, Wayne Mark Rooney majira haya ya kiangazi.
Chelsea yenye makazi yake darajani , jijini London, tayari walishatuma ofa mbili ambazo zimekataliwa na  Manchester United, ofa ya mwisho inayotajwa kuwa ni zaidi ya paundi million 25 ilitumwa jumapili. Lakini Mourinho alisema: “Hatuna kizuizi cha muda kwenye suala hili. 
‘Tumemuona Rooney ni mchezaji ambaye tungependa kuwa nae. Tumefanya kila kitu kwa utaratibu unaopaswa na tutafanya hivyo mpaka siku ya mwisho ya usajili”. Alisema Mourinho.
Rooney inaaminika kwamba amemwambia kocha wake David Moyes kwamba anataka kuondoka, lakini United imekuwa ikisisitiza kwamba hauzwi. 
In the driving seat: But Rooney, driving to training on Thursday, wasn't involved with the first-teamKatika kiti cha kuendeshea:  Rooney, alipokuwa anaendesha mkoko wake kuelekea mazoezini  jumanne ya wiki hii, lakini hakuwepo katika kikosi cha kwanza
In the driving seat: But Wayne Rooney has been banished to the reserves by David MoyesAkiondoka zake? Rooney ameondolewa na David Moyes katika kikosi cha kwanza, sasa yupo kwa wachezaji wa akiba
Dogged pursuit: Jose Mourinho says he will not give up on signing Wayne RooneyHachoki mtu hapa: Jose Mourinho amesema hatakata tamaa katika jaribio lake la kutka kumsajili Wayne Rooney
Wakati huo huo mbio za Manchester United kuiwania saini ya kiungo mahiri wa FC Barcelona, Cesc Fabregas zinaonekana kufikia ukingoni baada ya nyota huyo kusema anatamani kuendelea kufanya kazi Nou Camp.
Fabregas  alisema: ‘Makombe ya Barcelon ndio kitu ambacho nimekuwa nikitumainia katika maisha yangu, imekuwa ndoto yangu toka enzi za utoto wangu. Sijazungumza na klabu yoyote kwa miaka miwili iliyopita”
Spelling it out: Cesc Fabregas says he has no desire to leave BarcelonaKawapiga watu chini: Cesc Fabregas amesema bado anahitaji kufanya kazi na Barcelona

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video