Friday, August 9, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Mambo yazidi kuwa si mambo kwa Luis Suarez  katika harakati zake za kutaka kuihama Liverpool majira haya ya kiangazi,  baada ya kuambiwa na mmiliki wa Liverpool, Mmarekani John Henry warning kuwa:  “Huendi popote”.
Mmiliki huyo wa Liverpool amesema kwamba ni ujinga kuanza hata kufikiri kufanya biashara na Arsenal juu ya mshambuliaji huyo wa Uruguay.
Mmmarekani huyo amesema kwamba kitendo alichokifanya Suarez kilivuka mipaka, huku akisisitiza kwamba mshambuliaji huyo hatouzwa kwenda klabu yoyote mpaka dirisha la usajili litakapofungwa September 2 – pia akisema uamuzi wa kutokumuuza Surez hautokani na masuala ya fedha. Henry alisema: “Hatuwezi kumuuza Luis. Ni kwa sababu za kisoka kabisa, na sio masuala ya fedha. 
“Hii ni kwasababu mpaka sasa ni vigumu kupata mchezaji wa kuziba pengo lake kwa maana wachezaji wazuri wote wameshahama. Hivyo ni sababu za kisoka, hawawezi kumuuza – hasa kwa klabu ya Arsenal. 
“Kuwauzia mahasimu wetu mchezaji huyu utakuwa ni ujinga kabisa.”
Alienda mbali zaidi na kusisitiza kuwa hata kama Barcelona, Real Madrid au Bayern Munich watamhitaji Suarez, Liverpool haitakubali kumuachi kwani ni ngumu kupata mbadala ingawa baadhi ya watu watajiuliza kwanini wanamng`ang`ania mchezaji mwenye nia ya kuondoka.
Limbo: Liverpool are adamant that Suarez will not be leaving the clubBaba huondoki Liverpool wametia ngumu kumuachia  Suarez kwenda Asernal au klabu yoyote ile
Standing firm: Henry says that Liverpool do not have time to find a replacementHapa msimamo tu: Henry amesema  Liverpool hawana muda wa kiutafuta mbadala wa Suarez, hivyo kumuuza hapana!
Optimistic: Arsene Wenger is still hopeful Arsenal can agree a deal for SuarezVipi jamani tena?: Arsene Wenger bado ana matumaini ya kufanya makubaliano na Liverpool juu ya kumsajili Suarez
Outcast: Suarez trained alone at Melwood on ThursdayMzee wa vyombo vya habari: Jumanne ya wiki hii, Suarez  alipiga mazoezi peke yake 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video