MKUTANO YA MPANGO YA MATOKEO”MAKUBWA SASA” KATIKASEKTA YA ELIMU,WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM Wazirizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe Shukuru Kawambwa. akitoa hotuba wakati akifungua mkutano wawakaguzi wakuu wa Shule kanda na Wilaya hapa nchini lengo la mkutano huo,kuandaa uzinduzi wa mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa”katika sekta ya Elimu.(kushoto) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo.mkutano huo umefanyika jana Agosti 14,2013 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaa. Wakuu wa shule za sekondari na shule za msingi wakiwa kwenye mkutano huo leo wa kuandaa uzinduzi wa mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa”katika sekta ya Elimu,jana Agosti 14,2013 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaa. Wakuu wa shule za sekondari na shule za msingi wakiwa kwenye mkutano huo leo wa kuandaa uzinduzi wa mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa”katika sekta ya Elimu,janaAgosti 14,2013 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaa.Wakuu wa shule za sekondari na shule za msingi wakiwa kwenye mkutano huo jana wa kuandaa uzinduzi wa mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa”katika sekta ya Elimu,wakipata vitabu vya mwongozo wa utoaji wa huduma za kielimu kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi. PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
0 comments:
Post a Comment