Friday, August 9, 2013

03Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora jana jioni. Picha na OMR04Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo jana jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage. Picha na OMR
2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, jana jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora leo, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video