Tuesday, August 13, 2013


Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto na SimbaWatunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ akimkabizi mkataba wa makubaliano bondia Simba Watunduru baada ya kutia saini jana katika ofisi za TPBO LTD Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ kushoto akimwangalia bondia Simba Watunduru anavyo usoma mkataba wake kabla ya kutia saini Dar es salaam jana Picha na BLOG YA SUPER D
Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ kushoto akimwangalia bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akitia saini mkataba wake Dar es salaam jana Picha na BLOG YA SUPER D
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class ‘himu Class’ King Class Mawe’ wakiangaliana kwa usongo wakati wa kutambilisha mpambano wao wa masumbwi utakaofanyika August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
 
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakitunisha misuli wakati wa kupiga picha kwa ajili ya kutangaza mpambano wao Picha na BLOG YA SUPER D
Mabondia Simba Watunduru kushoto na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakitunishiana misuli wakati wa kutangaza mpambano wao Picha na BLOG YA SUPER D 

 Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Na Mwandishi Wetu 
 MABONDIA Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ na Simba Watunduru wamekiuka miko ya mchezo wa masumbwi baada ya kuchapana makonde kavu kavu mbele ya Rais wa TPBO Yassini Abdallah ‘Ostadhi’ wakati wa utiaji saini mkataba  wa makubaliano wa kupambana mchezo wa kirafiki August 30 katika ukumbi wa Diamondi Jubilee
 
Akizungumzia tukio hilo rais huyo alisema sijawai kuona vitu kama hivi vya ajabu mana vijana wamekamiana mpaka kufikia atua ya kuchapana kavu kavu mbele yangu ata hivyo mzozo uwo umekubaliana kumalizika siku ya mpambano wao  ambapo atajulikana nani mbabe zidi ya mwenzake
 
Nae bondia Ibrahimu Class aliyeanzisha mzozo uho ameaidi kumaliza mapema mpinzani wake ambapo anatarajia kumchakaza raundi za awali na bondia Simba ame aidi kumchapa class kwa K,O
 
wakati wowote ule unajua huyo ni kijana mdogo sana mmemuaisha kwangu sasa siku hiyo mimi nita mpiga K,O mbaya sana najua kuwa  kwa Tanzania hii mimi ndie naongoza kuwapiga wapinzani wangu kwa K,O pindi nikutanapo uringoni
Siku hiyo kutakuwa na uhuzwaji wa DVD mpya kwa ajili ya mafunzo ya mchezo wa masumbwi zitakazokuwa zikisabazwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’
DVD hizo mpya ni kati ya  
mike tyson vs evander holyfield na felix trinidad vs roy jones jr
ambapo dvd hizo zilizo rekodiwa kwa ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa mafunzo ya mchezo wa masumbwi nchini na kuelekeza mbinu na sheria za mchezo huo kwa mashabiki,mabondia na wanaoitaji kuwa marefarii wa pembeni kujifunza vizuri

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video