Wednesday, August 21, 2013

Bondia Ramadhani Shauri kushoto akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake kushoto Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Cosmas Cheka wa Morogoro  akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake  Ramadhan Shauri kushoto wengine ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma pamoja na kocha wa Cheka Power Iranda  picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Promota wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Ramadhani Shauri kushoto na Cosmas Cheka watakaopigana tarehe 27 jijini Dar es salaam Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari kushoto ni kocha wake Christopher Mzazi na Promota Kaike Siraju
Bondia Ramadhani Shauri akizungumza na waandishi wa habari

Bondia Cosmas Cheka akiongea na waanishi wa habari

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video