Saturday, August 24, 2013


Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe
Msimu wa 2013/2014 wa ligi kuu soka Tanzania bara umeanza kushika kasi leo hii kwa timu zote 14 kushuka dimbani.
Mechi zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni zile zinazohusisha timu tatu za juu msimu uliopita yaani mabingwa Yanga, washindi wa pili, Azam Fc na mshindi wa tatu, Simba Sc.
Tayari kumekucha kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, klabu ya Yanga ambao wameanza kwa uzuri kampeni za kutetea ndoo yao, baada ya kuwatwanga wageni wa ligi hiyo, Ashanti United ‘Watoto wa Jiji’ mabao 5-1 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga leo yalifungwa na Jerry Tegete dakika za 10 na 57, Simon Msuva dakika ya 47, Haruna Niyonzima dakika ya 73 na Nizar Khalfan dakika ya 90, wakati bao pekee la Ashanti lilifungwa na Shaaban Juma dakika ya 89.
DSC_0248Huko Ally Hassani Mwinyi mjini Tabora, wekundu wa Msimbazi Simba wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji Rhino Rangers.
 Mabao yote ya Simba SC yalifungwa na kiungo kinda Jonas Gerrard Mkude dakika za 10 na 38 kwa penalti, wakati ya Rhino yalifunwa na Iman Noel dakika 36 na Saad Kipanga dakika ya 64. 
GLOBALPUBLISHERSSIMBASC10
Uwanja wa Manungu, Wazee wa Sauzi, Azam fc wameshindwa kutamba mbele ya Mtibwa Sugar baada ya kulazimissha sare ya bao 1-1.
SONY DSCMatokeo ya mechi  zote saba ni kama ifuatavyo;
NO
DATE
No.
HOME TEAM
AWAY TEAM
STADIUM
REGION
1
24.08.2013
1
YOUNG AFRICANS 5
1 ASHANTI UNITED
NATIONAL STADIUM
DAR ES SALAAM

24.08.2013
2
MTIBWA SUGAR 1
1 AZAM FC
MANUNGU
MOROGORO

24.08.2013
3
JKT OLJORO  0
2 COASTAL UNION
SH. AMRI ABEID
ARUSHA

24.08.2013
4
MGAMBO JKT 0
2 JKT RUVU
MKWAKWANI
TANGA

24.08.2013
5
RHINO RANGERS 2
2 SIMBA SC
A.H. MWINYI
TABORA
 
24.08.2013
6
MBEYA CITY  0
0 KAGERA SUGAR
SOKOINE
MBEYA

24.08.2013
7
RUVU SHOOTINGS 3
0 TANZANIA PRISONS
MABATINI
PWANI

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video