Friday, August 9, 2013

DSC08242Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa kibaha Njuweni Pamoja na Mke wake Mama Mfinanga (Pichani juu), wamewaomba  Watanzania  kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zao za kidini,  kisiasa, kwani kufanya hivyo mwenyezi mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo  hapa nchini .
Kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo na utii

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video